TV 47 ›› Wabunge kutoka magharibi ya Kenya wameunga mkono mswada wa fedha wa mwaka 2024
Baadhi ya wabunge kutoka eneo la magharibi ya Kenya na wandani wa Rais Ruto wameunga mkono mswada wa fedha wa mwaka 2024 huku wakiwasihi wabunge wenzao kujielimisha zaidi kuhusu mswada huo #TV47Wikendi #FathersDay __ Thank you for watching this video. …